Job Ndugai asoma msg kwa kujificha bungeni

Job Ndugai asoma msg kwa kujificha bungeni

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,307
Reaction score
3,416
Sasa mheshimiwa naibu spika anasoma sms huku wabunge wanachangia kuna umakini kweli? Na kwa nini asome kwa kujificha kama ni sahihi? Tafakari.......

job.jpg
 
Hayuko makini ila ana jaziba juzi anapewa mnyika kuongea anataka aongee yeye tu
 
Sasa mheshimiwa naibu spika anasoma sms huku wabunge wanachangia kuna umakini kweli? Na kwa nini asome kwa kujificha kama ni sahihi? Tafakari.......

View attachment 112281

Mara nyingi anapokea amri kutoka nje ndio maana anapoliendesha bunge sio utashi wake ni Amri kutoka kwa vigogo wa ccmafisadi. Sio mara moja kumwona akisoma msg mara kibao.
 
Anafanya mawasiliano na kikosi cha intelejensia.
 
kazi ipo aliyempiga picha ni hatariii..mambo ya simu yana siri nyingi za ajabu hapo alijisahau
 
Duh! hii ni fedheha wazee! Kumbe ndiyo maana anashindwa kutoa maamzi anategemea sms kutoka nje.
 
Back
Top Bottom