Jamaa kajiandaa vya kutosha siku ya kufanyiwa usaili, maana kwa muda mrefu anatafuta kazi bila mafanikio.
Ile anaingia tu akaambiwa," wait please! ".
Akajibu," 75 kilogram sir ".