Job description ya Posta Masta inafananaje?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,225
Reaction score
39,705
Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
 
Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
Kusafirisha vifurushi (currier services) japo mteja mkubwa ni Serikali. Watu binafsi wanatumia zaidi mabus. Serikali documents na confidential materials
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…