Job advertisement

Job advertisement

antipas

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
412
Reaction score
417
Buda Technologies Dar es Salaam kushirikiana na online traders wanatangaza nafasi 30 za kazi kwenye Sales and Marketing.

Wanatakiwa watu wenye sifa zifuatazo:

- Wawe wamemaliza form four.

- Wana uwezo wa digital marketing and social network advertising.

- Wawe na uzoefu wa kazi za masoko kwa muda usiopungua mwaka mmoja wa direct marketing.

- Wawe na umri usiozidi miaka 35

- Wawe tayari kutembea ndani na nje ya mkoa wa Dar es Salaam.
-20 percent commison would be paid as salary
Usaili utaanza rasmi kuanzia tarehe 10/11/2019. CV zitumwe kwenda antipaspaul@outlook.com Au piga 0652 472 486.

Sambaza huu ujumbe kwenye group zako zote utamsaidia mtu mmoja mwenye uhitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom