watu wanaconclude tu bila kufanya utafiti wa kutosha. mtu anatoka kupanda mabasi ya dar kigoma au dar malinyi akipanda luxury ya kawaida tu dar mtwara anasema ndio best nchini. haya mtwara kuna gari ya kulingana na hyo?
Nilipoambiwa na Rafiki yangu mmoja ambaye amepangiwa kituo cha kazi kusini mwa Tanzania kule Gas inapochimbwa Mtwara aliniambia kama naenda niwe makini kuchagua usafiri mzuri, vile sikuwa na uzoefu kusafiri mikoa ya kusini alinipa option ya magari/kampuni kama 3hivi machinga,
ama hakika gas ni kichocheo cha maendeleo kusini.sikutegemea itafika siku moja mtu ataleta tangazo kutangaza bus zake zinazoenda kusini mwa tz.ni kiashirio tosha kwamba sasa kusini ni lulu kibiashara na ushindani ni mkubwa.
wamakonde akina THE BIG SHOW fungeni mkanda, punde kidogo wachaga,wasukuma,wahaya,wanyakyusa,wangoni nk watawaheshimu.lol
shikamoo gas.
Hao uliowataja mwisho ndo wanaenda kuchukua ajira wenyeji wanachonga vinyago,kuvua vibua na kuuza madafu,shida kule elimu wengi waliikimbia labda kama wameamka siku hizi
Joel Mabiba.Jm January Makamba Luxury Coach!?
sina la kusemaNothing to comment au umefunga mjadala?