Jlo achumbiwa tena Akiwa na Miaka 50

Jlo achumbiwa tena Akiwa na Miaka 50

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,201
Reaction score
17,563
Wadada MPOOO?

Mwanamziki JLo au Jennifer Lopez amechumbiwa weekend hii huko Marekani Akiwa na Umri wa Miaka 50

Nyie ambao hamjaolewa msikate tamaa maana kama Mama mapacha kachumbiwa akiwa na Miaka 50 nyie wa Miaka 28 mpaka 38 mnalia Lia nini?

Msiamkatie Mungu tamaa wadada wote msioolewa, singo maza, wajane

Picha kamili zinajieleza:

Screenshot_20190313-182635.png
Screenshot_20190313-182635.png
Screenshot_20190313-182640.png
Screenshot_20190313-182626.png


Cc: 50thebe mahondaw Smart911 Jokajeusi
Screenshot_20190313-182647.png
 

Attachments

  • Screenshot_20190313-182635.png
    Screenshot_20190313-182635.png
    381.6 KB · Views: 48
Huyo anayemchumbia ana mafanikio gani kumzidi jlo;isije kuwa jamaa kafuata mteremko au umaarufu.Ata wa huku kama wako vizuri wanaweza kuwatumia ambao hawajafanikiwa kupata ndoa
 
Back
Top Bottom