odindo Member Oct 11, 2013 55 8 Dec 29, 2013 #1 Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!
Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!
Mwanyonga Senior Member Jun 11, 2012 141 20 Dec 29, 2013 #3 odindo said: Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao! Click to expand... Kwan wao wamepanga kuanzia miaka mingapi hadi miaka mingapi?
odindo said: Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao! Click to expand... Kwan wao wamepanga kuanzia miaka mingapi hadi miaka mingapi?
apakak JF-Expert Member Dec 2, 2012 898 651 Dec 29, 2013 #5 odindo said: Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao! Click to expand... ili iwe rahisi kwa fresh recruits wenye unri mdogo kuendelezwa elimu ya kijeshi i.e kupokea mafunzo kwa uwepesi
odindo said: Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao! Click to expand... ili iwe rahisi kwa fresh recruits wenye unri mdogo kuendelezwa elimu ya kijeshi i.e kupokea mafunzo kwa uwepesi
apakak JF-Expert Member Dec 2, 2012 898 651 Dec 29, 2013 #7 mastemind said: je na wavyuoni je Click to expand... wachuoni max ni 24 ! kozi za "military science and disturbance" zinahtji graduates wenye umri mdgo au form 6
mastemind said: je na wavyuoni je Click to expand... wachuoni max ni 24 ! kozi za "military science and disturbance" zinahtji graduates wenye umri mdgo au form 6
M mwitu JF-Expert Member Jun 22, 2012 856 200 Dec 29, 2013 #8 odindo said: Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao! Click to expand... acha uwongo nani anapenda kujitolea tena mateso{mazoezi ya kijeshi} bila kulipwa? Wengi wanategemea kujitolea kwa kujua wanapata ajira jwtz, polisi, tanapa nk
odindo said: Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao! Click to expand... acha uwongo nani anapenda kujitolea tena mateso{mazoezi ya kijeshi} bila kulipwa? Wengi wanategemea kujitolea kwa kujua wanapata ajira jwtz, polisi, tanapa nk
M mastemind Member Dec 3, 2013 51 18 Dec 29, 2013 #9 mimi nimemaliza chuo ila nimevuka miaka 23 kesho napeleka maombivipi watanichukua
snowbaby Member Dec 29, 2013 8 0 Dec 29, 2013 #10 Hawakuchukui kama unapitia mkoani . Ila ukipata from kutoka makao adi graduate wanapewa nafasi