Jkt

odindo

Member
Oct 11, 2013
55
8
Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!
 
Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!

ili iwe rahisi kwa fresh recruits wenye unri mdogo kuendelezwa elimu ya kijeshi i.e kupokea mafunzo kwa uwepesi
 
Kwanini waseme wanahitaji kuanzia miaka 18 hadi 23 tu na Tanzania kuna vijana wengi wanataka kujitolea kujenga taifa lao!

acha uwongo nani anapenda kujitolea tena mateso{mazoezi ya kijeshi} bila kulipwa? Wengi wanategemea kujitolea kwa kujua wanapata ajira jwtz, polisi, tanapa nk
 
Hawakuchukui kama unapitia mkoani . Ila ukipata from kutoka makao adi graduate wanapewa nafasi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom