JKT watangaza nafasi za kujitolea

mkuu kuna ukweli kuwa watu wenye kigugumizi hawahitajiki jeshini?
hawatakiwi. Utatoaje sauti kwenye gwaride. Pia wanakagua nguvu za kiume pamoja na vitovu virefu.
 
Naomba kuuliza mwisho wa kutuma maombi ni lini kwa mkoa wa dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…