Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,627
- 5,258
tukushauri nini sasa hujionei huruma kulala sebuleni kwa shemeji wamwisho kulala wakwanza kuamka afu et bado najiuliza kwa watu kama majeshini hamna nafasihabari wana jamii
natumaini muwazima wa afya.kwa ufupi mimi ni mhitimu wa kidato cha 4,
mwaka 2009 ,nimehangaika sana kupata nafasi ya jkt tangu2010bila
mafanikio,leo hiinafasi zimetoka pia na na kwa bahati nzuri nimempata
refarii wa kuweza kunisaidia ila kikwazo ni kwamba baada ya kufuatilia
kwa kina akabaini kuwa nafasi zileni kwa ajili ya kuwawezesha
kuitegemea baada ya kumaliza mafunzo ingawa mtu anaweza bahatika
akachaguliwa kujiunga na majeshi yetu kabla ya kufamalizika mafunzo
ambayo ni ya miaka miwili .lengo langu ni kupata ajira ambayo itapunguza
japo njaa nilyonayo naombeni msaada wenu niende ama nisiende
Habari wana jamii natumaini muwazima wa afya.Kwa ufupi mimi ni mhitimu wa kidato cha 4, mwaka 2009 ,NImehangaika sana kupata nafasi ya jkt tangu2010BILA MAFANIKIO,leo hiinafasi zimetoka pia na na kwa bahati nzuri nimempata refarii wa kuweza kunisaidia ila kikwazo ni kwamba baada ya kufuatilia kwa kina akabaini kuwa nafasi zileni kwa ajili ya kuwtawezesha kuitegemea baada ya kumaliza mafunzo ingawa mtu anaweza bahatika akachaguliwa kujiunga na majeshi yetu kabla ya kufaMALIZIKA mafunzo Ambayo ni ya miaka miwili .lengo langu ni kupata ajira ambayo itapunguza japo NJAA nilyonayo naombeni msaada wenu NIENDE AMA NISIENDE
kijana acha kujifikiria mara mbili neda huko ajira zote za majeshi asa hivi zimetokea huko mi mwenyewe nilipitia huko na sasa ni mwana usalama wa Nchi hii
Habari wana jamii natumaini muwazima wa afya.Kwa ufupi mimi ni mhitimu wa kidato cha 4, mwaka 2009 ,NImehangaika sana kupata nafasi ya jkt tangu2010BILA MAFANIKIO,leo hiinafasi zimetoka pia na na kwa bahati nzuri nimempata refarii wa kuweza kunisaidia ila kikwazo ni kwamba baada ya kufuatilia kwa kina akabaini kuwa nafasi zileni kwa ajili ya kuwawezesha kuitegemea baada ya kumaliza mafunzo ingawa mtu anaweza bahatika akachaguliwa kujiunga na majeshi yetu kabla ya kufaMALIZIKA mafunzo Ambayo ni ya miaka miwili .lengo langu ni kupata ajira ambayo itapunguza japo NJAA nilyonayo naombeni msaada wenu NIENDE AMA NISIENDE
title yako bana. Et. Umevurugwa unajua kuvurugwa wewe?
Nenda uwe na maisha yako na kama miaka yako itaruhusu yaani chin ya 23 unaweza ingia jeshin kama ni chini ya graduate .umri huo ni baada ya miaka miwili,
kazi ni kwako nenda bwana hata tanapa huwachukua
hapa wala sijakusomaTitle yako bana. Et. Umevurugwa unajua kuvurugwa wewe?
NEnda uwe na maisha yako na Kama miaka yako itaruhusu yaani Chin ya 23 unaweza ingia jeshin Kama ni chini ya graduaTe .umri huo ni baada ya miaka miwili,
KaZi ni kwako nenda bwana hata TANAPA huwachukua