JJ wa J Member Joined Nov 30, 2016 Posts 5 Reaction score 0 Nov 30, 2016 #1 Wapendawa habari zenu... Napenda kuuliza je ni mwezi gani utaratibu wakuandikisha vijana wakujitolea jkt unaaza kwa wale wanaotatajia kujiunga mwakani 2017? Natanguliza shukrani
Wapendawa habari zenu... Napenda kuuliza je ni mwezi gani utaratibu wakuandikisha vijana wakujitolea jkt unaaza kwa wale wanaotatajia kujiunga mwakani 2017? Natanguliza shukrani