JKT RUVU vs COASTAL UNION: Live from Azam Complex, Chamazi

Naam na Mark Sirengo.
Mark Sirengo nadhan alicheza msimu wa nyuma yake, maana nakumbuka kipindi hicho wafungaji hatari wa Simba walikuwa ni Emmanuel Gabriel, Athumani Machupa huyu alikuwa mfungaji bora wa mashindano ya vilabu ya CECAFA mwaka 2003 Simba ilipotolewa fainali na Club Sport Villa, Ulimboka Mwakingwe alitisha sana kwenye yale mashindano ya Kagame na alikuwa anakimbiza winga zote lakini mara nyingi alikuwa anatokea kushoto nadhani ndo alikuja kumrithi Mark Sirengo.
 
kumbe mphamvu na mkuu masuke ni simba damu,nilikuwa cjui kwamba azam,mtibwa na coastal un ni ndugu zenu ndo mana mana masuke hajafurahia matokeo kule mwanza baada ya wadogo zetu toto africa kusawazisha,poa nitakutafuta masuke
 
Back
Top Bottom