JKT RUVU vs COASTAL UNION: Live from Azam Complex, Chamazi

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
CONTEST: Vodacom Premier League
VENUE: Azam Complex, Chamazi
KICK OFF: 1600HRS EA Time
UPDATES: VIA JamiiForums
 
CONTEST: Vodacom Premier League
VENUE: Azam Complex, Chamazi
KICK OFF: 1600HRS EA Time
UPDATES: VIA JamiiForums

More updates from:
m.facebook.com/CoastalUnion?refid=5
https://mobile.twitter.com/
 
Baada ya kusherekea Sikukuu
ya Eid-el-Hajji hapo Jana
Mabingwa wa ligi daraja la
kwanza (sasa ligi kuu)
1988,Coastal Union inshuka
dimbani leo Jumapili ya terehe 28/10/2012 kukwaana
Na JKT RUVU katika uwanja wa
Azam Complex-Mbagala Dsm.. Ikiwa ni mechi yetu ya kumi(10)
baada ya kufungwa mchezo
mmoja tu na kutoa sare nne na
kushinda michezo minne.Timu
ya CUFC itashuka dimbani ikiwa
na kumbukumbu nzuri ya kushinda 1-0 dhidi ya African
Lyon na Kujikusanyia points 16.
 
updates tunataka sio polojo tu,nani jf atakuwa chamazi live?

Acha mkwara dogo.
Mimi niko kifuani kwa shemejio, lakini updates utapata kama kawaida unless mkonga wa taifa ukatike.
Sawasawa?
 
Acha mkwara dogo.
Mimi niko kifuani kwa shemejio, lakini updates utapata kama kawaida unless mkonga wa taifa ukatike.
Sawasawa?

we jamaa ni mlevi wa malavi davi,updates zako leo cjui kama nitaziamini,kama vp tufute hii thread
 
ukirudi tena usiku kama kawaida unakandamiza our sister inlaw,vp upo uwanjani? tunasubiri updates toka kwako
 
ukirudi tena usiku kama kawaida unakandamiza our sister inlaw,vp upo uwanjani? tunasubiri updates toka kwako

Sipo uwanjani.
Ila mimi ni mratibu wa habari zote za timu online, kuanzia twitter, Facebook, JF, wikipedia na kwingineko kwenye taarifa za timu.
Kwa hyo wala usijali kuhusu updates, tawaletea kama zilivyo zinavyojiri.
 
CUSC STARTING LINE UP:
1. Jackson Chove
2. Said Sued (C)
3. Juma Jabu
4. Mbwana Kibacha
5. Jamal Machelenga
6. Jerry Santo
7. Joseph Mahundi
8. Razakh Khalfan
9. Nsa Job
10. Atupele Green
11. Suleiman Selembe

SUBS;
1.Rajabu Kaumbu
2. Ismail Suma
3. Othman Mani
4. Hamisi Shango
5. Soud Mohamed
6. Danny Lyanga
7. Lameck Dayton
 
Half time kutoka Chamanzi, matokeo bado ni bila bila.
Naambiwa mpira uko standard, beautiful display kutoka kwa timu zote.
 
Dakika ya 49, Daniel Lyanga
anaipatia CUSC goli la kwanza.
JKT Ruvu 0 - 1 CUSC
 
Dakika ya 60,
Atupele Green anatoka, anaingia Lameck Dayton...
 
Dakika 67
Said Sued anaifungia goal la 2
kwa njia ya penati.
 
Kutoka CCM Kirumba ni mapumziko na Mtibwa wanaongoza kwa goli moja, Chamazi Coastal union wanaongoza kwa magoli mawili na JKT Ruvu bado hawajapata goli.
 
Alitoka Nsa Job, duru zinasema
ameumia vibaya sana na
amekimbizwa hospitali.
 
Hawa Coastal ni tishio, kuna hatari wakamaliza nafasi ya pili kwenye hii raundi ya kwanza wakimfuatia Mnyama, kwa spidi waliyo nayo Yebo yebo na Lamba lamba wanaweza kuchapwa na hawa wagosi, heri yetu tulidroo nao, Selembe, Santo, Lyanga, Clayton, Razak, hawa jamaa ni hatari na wakati naandika wamefunga goli la tatu.
 
Kutoka CCM Kirumba ni mapumziko na Mtibwa wanaongoza kwa goli moja, Chamazi Coastal union wanaongoza kwa magoli mawili na JKT Ruvu bado hawajapata goli.

Thanks for updates mkuu... Keep it up from there.
 
Dakika ya 60,
Atupele Green anatoka, anaingia Lameck Dayton...
He hivi kumbe ni Dayton, mimi nikajua ni Clayton; Coastal wako vizuri mwaka huu na matokeo yakiisha hivi hivi wanawashusha wanalambalamba, hongereni sana Coastal, vipi Mphamvu mbrazili wenu anaanza kuitumikia club lini?
 
Back
Top Bottom