JKT pamoja na kufundisha ukakamavu lifundishe ujasiriamali kwa vijana

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Naungana Na wazo la Rais Magufuli kuwa vijana wasiotaka kufanya Kazi wakamatwe wapelekwe vijijini kwenye makambi. Badala ya serikali kuandaa hayo makambi ninashauri Kambi za JKT zitumike kuwapokea vijana hao pamoja Na ukakamavu wafundishwe Ujasiriamali ili wakimaliza wapewe vitendeakazi badala ya kuwaacha bila vitendea kazi. Kwa mfano aliyehitimu ufundi kujenga apewe box lenye vifaa vya kujengea naomba wadau tuchangie mada ili tunusuru vijana wetu ambao Serikali iliyopita iliwaruhusu kucheza Pool.
 
Chakii samahani MKUU naona we we in mwalimu wa kiswahili haya MKUU changia mada basi
 
Watachangia tu wao ni waelewa sio kama wewe inaonekana wewe ni Mtata hapo mtaani kwako
 
Back
Top Bottom