Dr Aluta
Senior Member
- Apr 16, 2015
- 121
- 39
Poleni na majukumu wanaJF,
Mwaka jana nikiwa miongoni wa wahitimu wa kidato cha sita nilifanikiwa kwenda jeshin JKT. Wakati tupo jeshini, kauli mbiu ya maafande ilitutaka tuache migomo tukiwa chuoni. Walikemea kila kukicha wakijua ndo mwarobaini wa kuzima migomo chuoni.
Ilifikia kipindi nikajiuliza kilichotuleta huku ni migomo? Maana kila kuruta mkosefu alibashiriwa kuwa mgomaji chuoni. Haya, hebu tazama leo hali iliyopo vyuoni. Migomo ipo palepale!
Na sehemu kubwa ya wagomaj wamepitia JKT. Niseme tu, serikal ijikite katika utatuzi wa tatizo na sio vitisho jeshini. Wakumbuke kiumbe chenye uhai na mauti huongozwa na tamaa.
Nawasilisha.