JKT kwa walimu Wa 2015

JKT kwa walimu Wa 2015

Kama wewe ni mwl basi shule uloenda mafunzo kwa vitendo(btp)wanashida,hujui kujieleza wala kuuliza swali.
 
Naomba kuuliza jaman kutetesi zozote za kwenda jkt walimu tarajali waliomaliza 2015?
 
yah! Walmu kama kawaida ndani ya jkt mwisho wa mwez huu JIPANGE
 
KULA BATA SERIKALI KWA MWAKA HUU HAIJAWEKA BUDGET KWA WALIMU KWENDA JKT. Ila kwa mujibu wa sheria inawahusu form six tu.
 
Waungwana naomba msaada wa taarifa ya ratiba ya mafunzo ya JKT kwa vijana wa kujitolea mwaka 2015. Je, kuna mtu mwenye tetesi kuwa nafasi hizo za mafunzo znatoka lin mwaka huu.
 
Back
Top Bottom