JKT 2018 updates

unaonesha unalipenda jeshi but umewahi kukata tamaa usiwe hivyo ndg wanaume hatupaswi kukata tamaa pambana ili Sikh ukifanikiwa ushangilie ki halali
 
Ndugu, nakomaa tuu na umivu la kukosa kuwa JWTZ nililo nalo hapa kitaa, nikijitoa ufahamu nikarudi JKT halafu ikatokea nikakosa nafasi ya kuwa MWANA JWTZ, NTAKUFA HADI NIUNGUE NA KUWA MAJIVU KWA UMIVU.Ngoja nuvumilie hivi hivi tuu kwa mtaa.
 
USHAURI: wale vijana ambao wana nia ya dhati au ndoto ya kuingia jkt tangazo litakapotoka waende mikoani, ikiwezekana wilaya za ndani ndani huko. Kama una vyeti na umekidhi vigezo vya umri asilimia za kufanikiwa kuingia jkt ni kubwa. Kwa dar asilimia ni chache mnooo, mtapoteza tuu mda wenu
 
Ukweli nd huo tatizo wengi hawalifaam hili
 
Kabisa. Ndo maana nimewapa ushauri mapema. Wenye ndoto kweli ya kuingia huko kwa dar wasijisumbue, labda kama ni watoto wa mabrigedia. Watapigishwa round hata 10 uwanjani na bado hawatoboi
Huku katavi hakuna hata kukimbia sijui round zikafanyaje n kuteleza tu
 
Jiongeze kwa kwenda kusomea japo ujuzi Veta,Veta ni bora kuliko iyo Jkt yako
 
Kabisa. Ndo maana nimewapa ushauri mapema. Wenye ndoto kweli ya kuingia huko kwa dar wasijisumbue, labda kama ni watoto wa mabrigedia. Watapigishwa round hata 10 uwanjani na bado hawatoboi
Mimi mbona nilipitia dar mkuu...ni bahati yako tu!
 
Kitu kilichoko rohoni huwa hata ufanyeje lazima kama hautokifanya kitakuwa kinakutesa Ndg. Kule JKT watu wengine wanakwenda kwa sababu jeshi liko moyoni kwa hiyo wanakuwa na nia ya dhati kuingia JWTZ lkn ambao wanatafuta kazi yoyote ile ndo wanaweza kufanya km hivyo.
 
dan mwaka jana wewe si ulienda?
 
dan mwaka jana wewe si ulienda?
Mkuu mwaka jana nliishia ground udsm kwenye mabio. Sema washkaji zangu wote walioenda mkoani mwaka jana walienda, sahivi wanaskilzia tuu makambini. Wenye fani za afya ndo walichkuliwa kuingia jwtz last week
 
Anhaa nakumbuka paroko alikuwa anakutania kuwa umekimbia sana udsm mpaka ulimi ukatoka nje

Ungekodi tu mashine ikikumbulie mithili ya usain bolt,ila elimu degree na umri vilikuwa sahihi tu
 
Anhaa nakumbuka paroko alikuwa anakutania kuwa umekimbia sana udsm mpaka ulimi ukatoka nje

Ungekodi tu mashine ikikumbulie mithili ya usain bolt,ila elimu degree na umri vilikuwa sahihi tu
Hahaha, zile round sio poa mkuu. Afu ugumu ni kwamba idadi ya waliokua wanachkuliwa ilikua inazidi kupungua kadri level ya elimu inavyopanda. Last year bachelor walikua wanachkua mwisho 25yrs, wakifanya hivyo mwaka huu pia bado nafasi ya mwisho ipo
 
Dah mzee hujakata tamaa tu
 
nasikia siku hizi hadi posho zime baki story... wakipata haizidi 20,000/- jktt huko ni raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…