JKT 2018 updates

Wote mnà taka kwenda jkt??? Umesha andaa eneo la kwenda kufanya usaili??? Umesha fahamu kila mkoa wilaya wana chukua vijana wangapi??? Kwa nafasi za jkt??? Jme jiandaaje??
hlo Ndo muhm umeongea kamanda
 
nina diploma ya clinical officer nataka niende jkt kwa watu wenye uzoefu wa haya mambo naweza kuchomoka na elimu yangu hii
 
N
waliwachanganya na wale wa degree waliotoka uraiani mkuu
Ndio mkuu kwanza walianza kuchukua uraiani wenye bachelor tu walipoona ni wachache nd wakaongezea na walio jkt mpk ma nesi wenye cheti wakala shavu
 
Nendeni vijana... Nendeni nendeni...!
 
Haya, JKT wakajenge tuu ukuta wa Ikulu Dodoma. Siku nyingine TUKOME KABISA, Tusije tukarudia kuchezea shilingi kwenye tundu la choo.
 
Kuishi tu hapa Tz ni zaid ya kucheza kamali jomba wacha tukaicheze na hii tuone
Usijari ndugu, jitoe ufahamu ukabeti kete yako huenda Mungu atakujalia, na ukikosa pia utarudi kitaa kuanza kuhustle upya (km hauna sapoti ya wazazi na ndugu km Mimi) lakini kama kwenu pesa zipo usijari hata ukikosa utarudi kitaa watakupa pesa ya kuanzia maisha ya uraiani kwa mara nyingine. Ni wewe tuu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…