Utakuwa unaguswa haya kojoa ukalale.Duh! Badala ya kupinga kitendo cha Freeman Mbowe kula fedha za ruzuku na Joyce Mukya, nyie mnaandamana katika masuala yasiyo ya msingi
Mkutano ni wa World Economic Forum. Ni wa muhimu kutangaza nchi. Kagame yuko huko tangu juzi. Kenyatta na Nkurunziza hakualikwa. Museveni sijui.
Ni Safari ya 359. Mathematically 359x2(kwenda na kurudi)=718=2years. Kwa hiyo atakua amevunja katiba kwa kutawala miaka 8 badala ya 10Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza. Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.
Amesafiri tena?Huyu M.k.w.e.r.e wa Msoga sasa amezidi,Khaah!Ndiyo tabu ya kuongozwa na Waswahili!!!!
Duh! Badala ya kupinga kitendo cha Freeman Mbowe kula fedha za ruzuku na Joyce Mukya, nyie mnaandamana katika masuala yasiyo ya msingi
Huyu baba asipojua kuendesha ndege atakuwa na kichwa kigumu vibaya sana huyu
na kwa wastani kila safari moja anakaa huko siku 6 kwa hiyo ameongoza inchi akiwa safarini kwa siku 2154 ambazo ni kama miaka mitano hivi tangu aingie madarakani kwahiyo amekaa zaidi safarini kuliko nyumbani kwake Tanzania ! nina hakika angekuwa Marekani au kwingineko wangemtilia shaka huyu utaongozaje ofisi ukiwa nje kwa kipindi kirefu kiasi hiki ! haya ni maajabu kwakweliDaaaaah!Safari ya 359 hiyo!Mungu tuokoe waja wako
......ha ha ha ahaha. Sasa hivi anajua si unaona ana ka airstrip kake pale jirani
awaalike nani hao wahuni?Je, Kenyatta, Kaguta, na Kagame nao wamekwenda?
Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza.
Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.
awaalike nani hao wahuni?
Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza.
Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.
Nimesikia jana kwenye chombo kimoja cha habari kuwa kwa kila anayeingia kwenye mkutano wa DAVOS analipa US$ 20,000. Kama hii ni kweli, ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na rais wake unagharimu kiasi gani cha dola kwa ajili ya kiingilio pekee achilia mbali gharama nyingine kama nauli, per-diem na mengineyo?.
Kuna umuhimu ama faida gani kwa taifa kwa kuhudhuria mkutano huo ama ndiyo ile kufanya mambo kwa faida binafsi ilhal wananchi wananendelea kuumia kwa ugumu wa maisha na kukosa huduma muhimu na za msingi?