THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,855
- 15,196
Unashangilia upuuzi?Mbona kidude cha like hakuna. Mods vipi????? .. anyway ... like, like, like
Mkuu, una utani na Dr Slaa weweGo Kiwete gongo
Pole sana. Unaikumbuka Ziara ya Dr slaa marekani?Akitaka aunganishe na nchi zingine na ikiwezekana asirudi aendelee kuzurura tu!
Huyu mtu mzururaji mno!
.......anawatumikia na kuwawakilisha ipasavyo.........!kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake!za kwako zitakuwa nyepesi na zilizopauka kwa kukosa virutubisho ndo maana akili yako inakutumma kuandika hivyo!Sioni utumishi wake hata kidogo zaidi ya uwakilishi ambao hatu uhitaji hata kidogo.Naomba faida za safari zake!!!!!!!!!!!!!!!!Waulize wenyewe. Sisi wa kwetu anatutumikia na kutuwakilisha ipasavyo. Kagame hana mafungamano na jumuiya za kimataifa

Sio mzingo sema mzigo
Je, Kenyatta, Kaguta, na Kagame nao wamekwenda?
overtime jamaa analipwa sh ngapi ????
akitoka nje ya nchi sh ngapi kwa siku??
akiwa nje ya ofisi ndani ya nchi analipwa sh ngapi kwa siku????
daaaa mwenyewe rais na wasaidizi wake wakija kumaliza muda mwaka 2015 watakuwa matajiri wa kutisha
halafu msiwasingizie kuwa walikuwa wezi ila jueni kuwa hizi safari wanapata marupurupu yalio kubuhu.