Kaka hapo penye RED uliandika mwenyewe au kuna mtu amekuandikia?? Unatuuliza aliko, then unatuambia unajua aliko! akili yako iko sawa kweli?For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko wapi na anafanya nn. Can somebody tell me, where is JK?
..... Ajali za ndege zimekuwa adimu sana kwa viongozi sijui kwanini?
ana act as minister of foreign affairs..Yuko bagamoyo ngomani, baada ya hapo ataenda kutafuta wawekezaji dubai na canada.
teh teh kwi kwi wewe ni yule afisa mawasiliano kwenye temple ya magogon? Mbona umevujisha info?Ule ugonjwa wa kuanguka ulimtokea tena anaona aibu kujitokeza hadharani siku mbili hizi, baada ya hapo anaruka tena, si unajua asili ya mbayuwayu kupasua anga kwa kwenda mbele, safari nyingine anazibuni akiwa huko huko angani.Hapa msimtegemee hivi karibuni, mpaka msahau vumbi la Jairo ndiyo anarudi. Ajali za ndege zimekuwa adimu sana kwa viongozi sijui kwanini?
For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko wapi na anafanya nn. Can somebody tell me, where is JK?
kasikia kasema through BBC kwamba "yeye sio wingu,hawez kunyesha mtera"Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu jana..pamoja na hali ya nchi kuwa tete hajasikika!
Happy birthday to you, happy birthday to you, happy birthday dear madiba happy birthday
Tujaribu kukua kidogo. Mwombea mwenzie janga humkuta yeye pasi kujua