Suala hili lisifanyiwe siasa wala mzaha! Nguvukazi ya nchi inateketea wakati viongozi wetu wako busy kutafuta umaarufu wa kisiasa!" Huu ni upepo tu utapita." by Dhaifu.
" ni bora watu wanaishi kwa kula majani na kuchemsha maembe ila ndege ya rais lazima inunuliwe." by Mramba.
]Njaa inafugwa na CCM, ni chambo cha kutafutia kura. So haitakuja iishe chini ya utawala wao.