Mimi naona sijui kama anawakomoa, maana wananchi waliompigia kura wanalalamika sana.
Kwanza mwaka 2005 aliwaahidi maisha bora, lakini hawakuyapata.
Mwaka 2010 wakateleza tena wakampa- hapa ndo JK akawaacha kabisa na kufanya mambo ovyo kabisa. Ufisadi ukawa mchana kweupe.
Najua watu wengi hawakumpa kura JK, kwa sababu mwaka 2005 - 2010 alichosha watu sana, mfumuko wa bei na kushuka uchumi.
Sasa hali ni mbaya zaidi, sasa watu wanashangaa je JK anawakomoa Watanzania wote bila kujali kuwa alipewa kura na wachache?
kikwete si mtu wa kulaumiwa.sote tujilaum kwa kua tumebadilika na kuwa taifa la walalamikaj badala ya kufanya kazi.jiulize ww una mchango gani ktk maendeleo ya nchi yako.hakuna mda wa kunyosheana vidole.
kikwete si mtu wa kulaumiwa.sote tujilaum kwa kua tumebadilika na kuwa taifa la walalamikaj badala ya kufanya kazi.jiulize ww una mchango gani ktk maendeleo ya nchi yako.hakuna mda wa kunyosheana vidole.
jairo ameondolewa kazini kwa amri ya rais.hebu jiulize kwa makini sana.tangu kikwete aingie madarakani,ni viongozi/vigogo/vingunge wangapi wametundikwa anza na huyo jairo,mramba,Daniel yona kina lowasa,karamagi.hebu tuwe fair kdg.mpeni mnyonge haki yake.tusiwe taifa la walalamikaj.pili hakuna taifa linalo survive isolated hapa duniani.rais anaposafiri anatengeneza mahusiano na mataifa mengine pamoja na kutengneza michongo.sasa we unataka rais wa vijijin tu ndg yng?lets be critical sm time.
Ndo imekuganda ss na Jk pia kakuganda na hio hell wala haendi pekeake! Dua la kuku............I hate this mother facker country! JK go 2hell .......
WaTanzania wanafanya kazi sana napia wanalipa kodi kama inavyotakiwa lakini sasa hawaoni matunda ya kodi wanazolipa na badala yake wanaona viongozi kukwea mapipa na kwenda kutumbua ughaibuni kwa kutumia kodi zao!! Tabia hii ya viongozi ya kutumia vibaya mapato ya serikali na pia kuwalinda wezi kama Jairo ndio inawanya wananchi wajiulize mara mbilimbili kama kweli viongozi wa nchi wanauchungu na hao wanaowaongoza.
2015 hawezi kufika huyo kwani naamini siku zake zinahesabiwa kuwepo hapo magogoni kwani huu uvumilivu una mwishoYaani ndio unashangaa???
Kwani ulikua hujui kama jamaa ndivyo alivyo??
Kwa tunaomjua tushamzoea, tuvumiliane tu mpaka hiyo 2015,
Ninaamini kwa kichapo tutakachokipata mpaka muda huo, hatutarudia tena kuchagua kwa kuangalia sura