Lunyungu JF-Expert Member Aug 7, 2006 8,873 1,894 Aug 8, 2009 Thread starter #61 FairPlayer said: Lunyungu; Issue imekuwa ni nzito. Kumbe mama ni chakula ya wazee huku juu. Anyway...habari ndo hiyo Click to expand... Fair hebu sema . Hapa kuna mama 2 invloved .Sasa ni nani ambaye ni chakula ya wakubwa huku juu ? Kwanza tuanze na hili baadaye tutakuja kwa mlaji .
FairPlayer said: Lunyungu; Issue imekuwa ni nzito. Kumbe mama ni chakula ya wazee huku juu. Anyway...habari ndo hiyo Click to expand... Fair hebu sema . Hapa kuna mama 2 invloved .Sasa ni nani ambaye ni chakula ya wakubwa huku juu ? Kwanza tuanze na hili baadaye tutakuja kwa mlaji .
Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,445 Aug 8, 2009 #62 FairPlayer said: Lunyungu; Issue imekuwa ni nzito. Kumbe mama ni chakula ya wazee huku juu. Anyway...habari ndo hiyo Click to expand... Mkuu FairPlayer, Kwahiyo wazee wanakula sahani moja na Mzungu? Dunia tambala bovu!
FairPlayer said: Lunyungu; Issue imekuwa ni nzito. Kumbe mama ni chakula ya wazee huku juu. Anyway...habari ndo hiyo Click to expand... Mkuu FairPlayer, Kwahiyo wazee wanakula sahani moja na Mzungu? Dunia tambala bovu!
The Farmer JF-Expert Member Jan 7, 2009 1,658 557 Aug 8, 2009 #63 Baba_Enock said: Mkuu FairPlayer, Kwahiyo wazee wanakula sahani moja na Mzungu? Dunia tambala bovu! Click to expand... Sasa kwani kuna ubaya gani?
Baba_Enock said: Mkuu FairPlayer, Kwahiyo wazee wanakula sahani moja na Mzungu? Dunia tambala bovu! Click to expand... Sasa kwani kuna ubaya gani?