Vipi zile thread zako za Mnyika na Mdee? leo naona umebadilisha single lakini sijui kama itahitJK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo kuwepo kwa Nape katika sekretaeti kutatoa fursa kubwa kwa akina Kinana kueneza mafanikio ya serikali ya CCM huku Chadema wakizozana na Nape.
JK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo kuwepo kwa Nape katika sekretaeti kutatoa fursa kubwa kwa akina Kinana kueneza mafanikio ya serikali ya CCM huku Chadema wakizozana na Nape.
sifa za jembe..JEMBE KAWAIDA LINA TUNDU AMBALO HUINGIA MPINI,JEMBE HALIFANYI KAZI MPAKA LITIWE MPINI,JEMBE LINA TABIA KAMA ZA MKASI ,MKASI HAUKATI MPAKA UTIWE VIDOLE NYUMA, je ww una sifa na tabia kama za JEMBE? kama ndio..
JK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo kuwepo kwa Nape katika sekretaeti kutatoa fursa kubwa kwa akina Kinana kueneza mafanikio ya serikali ya CCM huku Chadema wakizozana na Nape.
Siyo siri Nape anaweza najua mnajua ila mnaponda tu!!