MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
JK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo kuwepo kwa Nape katika sekretaeti kutatoa fursa kubwa kwa akina Kinana kueneza mafanikio ya serikali ya CCM huku Chadema wakizozana na Nape.