JK Umepiga Bao la Kisigino Kubakiza JEMBE; Nape

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
JK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo kuwepo kwa Nape katika sekretaeti kutatoa fursa kubwa kwa akina Kinana kueneza mafanikio ya serikali ya CCM huku Chadema wakizozana na Nape.
 
aiseeeeee babaangu gamba bwana ili gamba litakuwa linaupungufu wa nguvu za kiume na akili
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeh, unajua nilijua nipo kwenye jukwaa la udaku na jokes, sorry let me exit this thread
 
:biggrin1: umenichekesha..kwa hiyo ccm wanamuona nape kama mtu wa kuzozana na cdm hakuna kazi nyingine ya maana angepewa zaidi ya kila siku kubishana na upinzani kitu ambacho hata hakisaidii coz i dont think ppo pay too much attention to what he says anyways
 
JK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo kuwepo kwa Nape katika sekretaeti kutatoa fursa kubwa kwa akina Kinana kueneza mafanikio ya serikali ya CCM huku Chadema wakizozana na Nape.
Vipi zile thread zako za Mnyika na Mdee? leo naona umebadilisha single lakini sijui kama itahit
 
Nape! mawazo yako ndio yamekutuma anawapa homa CDM au ... Sikuelewi? maana jamaa mie ni nacho kionaga kwake ni Kama mpiga kelele wa kupangwa na mtu yani katumwa
 
sifa za jembe..JEMBE KAWAIDA LINA TUNDU AMBALO HUINGIA MPINI,JEMBE HALIFANYI KAZI MPAKA LITIWE MPINI,JEMBE LINA TABIA KAMA ZA MKASI ,MKASI HAUKATI MPAKA UTIWE VIDOLE NYUMA, je ww una sifa na tabia kama za JEMBE? kama ndio..
JK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo kuwepo kwa Nape katika sekretaeti kutatoa fursa kubwa kwa akina Kinana kueneza mafanikio ya serikali ya CCM huku Chadema wakizozana na Nape.
 
sifa za jembe..JEMBE KAWAIDA LINA TUNDU AMBALO HUINGIA MPINI,JEMBE HALIFANYI KAZI MPAKA LITIWE MPINI,JEMBE LINA TABIA KAMA ZA MKASI ,MKASI HAUKATI MPAKA UTIWE VIDOLE NYUMA, je ww una sifa na tabia kama za JEMBE? kama ndio..

Hizo ndiyo sifa za Jembe Nape wa Chama cha kijani
 
Eti kuwapa vidonge! Kwa hiyo ccmweli ni bendi ya taarab?

Vidonge? Vidonge?
Kumbe mipasho ndio kazi yao?
JK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo kuwepo kwa Nape katika sekretaeti kutatoa fursa kubwa kwa akina Kinana kueneza mafanikio ya serikali ya CCM huku Chadema wakizozana na Nape.
 
Kwa mashabiki wa soka, kumwita Nape Jembe ni sawa na kumwita Asharvin Jembe kule Arsenal.

Nape alitakiwa acheze akitokea bench. CCM majembe yao ni wale wanaowatusi Chadema na c watu wenye akili na wenye hoja.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom