EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Tena na zaidi uko wapi weyee? Rada 28 million Pounds zinarudi 29 million pounds baada ya kutoa gharama za kesi. Unanshangaza, kama una figure iliyo tofauti ilete, mie huwa siandikii mate na wino upo.
FF unajua tuliponunua ile rada hatukulipa cash. Tulienda kuomba mkopo wa riba nafuu World Bank lakini tukanyimwa kwa vile gharama za rada zilionekana ziko juu mno. Tukaenda kuomba mkopo wa riba Barclays. Serikali imesema tayari imeshalipa huo mkopo pamoja na riba yote. Je, unajua kwenye huo mkopo tulilipa riba ya kiasi gani? Hiyo change ya 29 million inafikia fedha yote including riba tuliyolipa Barclays? Fanya mahesabu halafu tuwekee figures hapa.