JK tulia kidogo nchini: Meli inapigwa mawimbi!!!

Tena na zaidi uko wapi weyee? Rada 28 million Pounds zinarudi 29 million pounds baada ya kutoa gharama za kesi. Unanshangaza, kama una figure iliyo tofauti ilete, mie huwa siandikii mate na wino upo.

FF unajua tuliponunua ile rada hatukulipa cash. Tulienda kuomba mkopo wa riba nafuu World Bank lakini tukanyimwa kwa vile gharama za rada zilionekana ziko juu mno. Tukaenda kuomba mkopo wa riba Barclays. Serikali imesema tayari imeshalipa huo mkopo pamoja na riba yote. Je, unajua kwenye huo mkopo tulilipa riba ya kiasi gani? Hiyo change ya 29 million inafikia fedha yote including riba tuliyolipa Barclays? Fanya mahesabu halafu tuwekee figures hapa.
 
Wee mbuguma, mkwala huo liwalo naliwe, liwalo na liwe humu wengine hatuna faida wala hasara! nakushangaa eti hoja una hoja wewe? unachonga, watu tumepigika hadi kuzikana na magunia! watoto wetu wamechakachuliwa sasa wanacheza gololi shuleni! mnawaandaa kuwa mateja kwa madawa ya kulevya! unainua kidole mmeshindwa hoja! Tafadhali usinitie kichefu chefu na glasi yako ya kohozi.

Wewe ****** hoja zimekushinda unabwabwaja hovyo. Mwanao kama ni teja ndio lishakuwa teja wacha likagawe lipewe unga ;ibwie, tuondolee, takataka zako hapa, si ulishindwa kumlea mwenyewe, asiyelelewa na *****? Utajaza mwenyewe.
 
FF unajua tuliponunua ile rada hatukulipa cash. Tulienda kuomba mkopo wa riba nafuu World Bank lakini tukanyimwa kwa vile gharama za rada zilionekana ziko juu mno. Tukaenda kuomba mkopo wa riba Barclays. Serikali imesema tayari imeshalipa huo mkopo pamoja na riba yote. Je, unajua kwenye huo mkopo tulilipa riba ya kiasi gani? Hiyo change ya 29 million inafikia fedha yote including riba tuliyolipa Barclays? Fanya mahesabu halafu tuwekee figures hapa.

Nakwambia aje? kama una data zingine zilete, nakuchukulia kuwa mtu mahiri na huongei upuuzi. Naomba weka data, mimi nimekueleza nnayoyajua, sasa wewe kama unayajua mengine yalete. Lakini hili usitake kubisha kwa maneno matupu.
 
Wewe unaongea kama vile unataka hoja ishinde humu ndani, watu wana mawazo tofauti, umewahi kuungua na moto na maumivu yake unayajua? Walio wengi wamewahi kuungua na moto na maumivu na maumivu wanayajua yake vizuri, inaelekea wewe hujawahi kuungua na moto na wala maumivu yake huyafahamu vizuri! Pole sana.
 
Achana na mimi jibu hoja zangu. Simpo!
 
Wewe ****** hoja zimekushinda unabwabwaja hovyo. Mwanao kama ni teja ndio lishakuwa teja wacha likagawe lipewe unga ;ibwie, tuondolee, takataka zako hapa, si ulishindwa kumlea mwenyewe, asiyelelewa na *****? Utajaza mwenyewe.
wewe mk8önþ unaona nabwabwaja eeh, naamini aliye shiba hamjui mwenye njaa! Kwa hiyo unatetea mateja wawe wengi ili ufaidi damu yao na kula kiyoyozi kwa raha zako Sio! huelewi kwamba jirani yako akiwa na njaa wewe amani huna, amani itakuwa kama unatafuta sangala mwenye mimba. ngoja utiwe adabu kwa vitendo siku 10 wako nje 10 ndani, wakijihami na damu yenye ukimwi na kohozi la tb! ndipo utalaani hata tumbo lililo kuchukua mimba! Tembelea uswazi na shungi lako uyaone ujifunze.
 
Back
Top Bottom