ghilipolla
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 280
- 53
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.msiandike kikanjanja mm mwenyew nilikuwa namsikiliza bbc alisem suala serikal3 yy hana tatizo nalo km wananch wameridhia
Tofautisha qualitative na quantitative Tume ilitumia qualitative approach kwa kutumia focus group discussions na wala si scientific approaches za quantitative ili waweze kufanya sampling na wakimaliza waache kutumia statistic waweze kuweka weights ili wasizungumzie population kwa kufanya inferences. Sample ikiwa ni representative, hakuna issue ya uwingi itasumbua. Hivyo ni kitu cha ajabu kuhusisha results za Tume ya Warioba na Takwimu za Watanzania!!!!!! Kama mlitaka tuzungumzie idadi ya watu ilitakiwa kupata sampuli ya kisayansi (kutoka mtakwimu mkuu wa serikali) la sivyo tusichanganye. Hii tuwaachie Watakwimu.Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
we jamaa bhana sidhani hata kama ulishiriki kwenye mchakato wa utoaji maoni .......ww hukuona wakati tume inapita?? haikupaswa kutoa maoni ya kujirudia rudia hivo watu ilipaswa wajikite katika hoja zingine pia kwani katiba ina vifungu vingi bwana,.... hivo ukienda kwa idadi na vipi waliozungumzia mgombea binafsi takwimu iko vp?.......madaraka ya raisi nao je? tueme idadi yao haitoshi hivo tusibadili ki2?Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
Wananchi wanaotaka serikali tatu ni 49 elfu tu wakati nchi inawatu zaidi ya milioni 45.
Jk hana tabia hii ni mstarabu sana siku zote hawezi kumdhalilisha mtu wala kumbeza mtu alichofanya ni kuongea ukweli wa mambo ulivyo kasema pumba na mchele ndiyo kaacha jukumu kwa wajumbe wa bunge maalumu wafanye kazi yao.