JK, Shein waula


shubiri na quinin ni chungu sana lakini huwa zinamezwa kwa malengo ya uponyaji....hii hata mie nakubali...aendelee tu
 
kuna watu hawafikirii sawasawa humu, wanashindwa kuelewa kuwa kupewa madaraka ni jukumu zito wanakuwa na mawazo mepesi eti flani aula, hii haikubaliki
ndo ushangae,mtu ashindwe kuula miaka kumi aliokaa madarakani aje kuula miaka miwili?
 
Hamna kitu kama hicho, katiba ya Tanganyika by late 2014 itakuwa tayari. Watch out!
 
umeenda opp, hapa tunajadili katiba ya nchi na uongozi wa muda, sio safari za rais.

Niko ndani ya mada mkuu, sema nimeenda mbele kueleza sababu za msimamo wangu. sikunalino na mazingira yoyote yatakayomuongezea muda wa hata dakika moja Jakaya kuwa Ikulu.

Kama ni swala la katiba ya Tanganyika, hiyo inawezwa kutengenezwa hata ndani ya wiki moja tu, tunahitaji watu smart kukaa na kuitengeneza na sio genge kuuuubwa kama la kina warioba.
 
Wewe mbona hujabadili mentality Yako ya kutembea na sumu mifukoni. Unatia kinyaaa

Hizi kauli za 'Kuula' 'Waula' ni kauli zinazochochea wizi na matumizi mabaya ya public office.Tubadili mentality hii...!
 
Sasa kama huu sio Unafiki na Ugaidi ni nini. Umeenda kumfungulia uzi Hayat Rais kwa Mgongo wa Nyalandu, mtu ambaye umekuwa una mchana kila kukicha ona matamshi yako hapa
Mawaziri wengi wa nchi hii walifanya SHEREHE KUBWA za kuuaga umasikini baada ya kuteuliwa ! Mmojawapo alikuwa LAZARO NYALANDU .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…