Hoja yako ni kweli! Lakini kumbuka kuwa tutakuwa na kura ya maoni mwakani na kama rasimu hii ya katiba itakubaliwa, katika uchaguzi mkuu ujao tutahitajika kuchagua rais wa muungano na rais wa Tanganyika!Kama waliingia madarakani kwa katiba ya zamani,bc watatoka kwa kufuata katiba hiyo ya zamani ambayo inasema kuwa uchaguzi utafanyika kila baada ya miaka mitano (5).Lazima watoke 2015,
...hili umefikiri awewe au limetoka ndani ya rasimu ya katiba???maana hata mi najiuliza sioni time frame na mechanism ya kufanyia kazi uwepo wa katiba ya TZ bara..pia bunge na serikali....sioni rasimu inasemaje kuhusu muda wa kuyafanya haya mambo kabla kabla ya uchaguzi mkuu....Sasa ni dhahiri endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa katika kura za maoni basi ni wazi kuwa JK na Shein wataendelea kukalia viti vyao si chini ya miaka miwili zaidi ili kuwezesha Watanganyika kuandaa katiba yao na Wazanzibari kurekebisha katiba yao ili iendane na katiba mpya!
Hivyo nawashauri Watanzania wenzangu tujiandae kisaikolojia kukabiliana na hali hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
Mungu ibariki Tanganyika!
Mungu ibariki Zanzibar!
Sasa ni dhahiri endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa katika kura za maoni basi ni wazi kuwa JK na Shein wataendelea kukalia viti vyao si chini ya miaka miwili zaidi ili kuwezesha Watanganyika kuandaa katiba yao na Wazanzibari kurekebisha katiba yao ili iendane na katiba mpya!
Hivyo nawashauri Watanzania wenzangu tujiandae kisaikolojia kukabiliana na hali hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
Mungu ibariki Tanganyika!
Mungu ibariki Zanzibar!
Jk ataendelea kuwa ruru na anayeumwa ni kumwacha aumwe tu wala hatachafua sifa ya jk,twende jk tunaimani na wewe.
Hizi kauli za 'Kuula' 'Waula' ni kauli zinazochochea wizi na matumizi mabaya ya public office.Tubadili mentality hii...!
Muda wa Jakaya ufikia mwisho he will just have to leave the office and relinguish the presidency at least to Madam Speaker. We can not afford further his expensive and useless trips abroad.
Jk ataendelea kuwa ruru na anayeumwa ni kumwacha aumwe tu wala hatachafua sifa ya jk,twende jk tunaimani na wewe.
Tumeshajiandaa mkuu
Jk ataendelea kuwa ruru na anayeumwa ni kumwacha aumwe tu wala hatachafua sifa ya jk,twende jk tunaimani na wewe.
Jifunze kiswahili ndio uvamie hili jukwaa mkuu
Mkuu naomba sana usinihusishe na Bavicha sio kila anayekupinga ni Bavicha au CCMsisi tunaongea lugha ya pwani wewe baki na kiswahili chako cha bavicha.
Sasa ni dhahiri endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa katika kura za maoni basi ni wazi kuwa JK na Shein wataendelea kukalia viti vyao si chini ya miaka miwili zaidi ili kuwezesha Watanganyika kuandaa katiba yao na Wazanzibari kurekebisha katiba yao ili iendane na katiba mpya!
Hivyo nawashauri Watanzania wenzangu tujiandae kisaikolojia kukabiliana na hali hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
Mungu ibariki Tanganyika!
Mungu ibariki Zanzibar!
​Chikawe amesema inawezekana tukawa na katiba ya Tanganyika kabla ya 2015! Lakini kwa utaratibu huu wa kusuasua I doubt!Hivi Tanganyika AKA Tanzania bara haina katiba sio! Maana hapa tunatoa muda kwa katiba ya JMT na ZNZ tu! Kweli Tanganyika wana TANGA TANGA NA NYIKA!
Alitaka watu wajiandae kisaikolojia.Prof lipumba alishasema hilo
Hahaha kule kwetu hilo jina lako nimtu ambaye hajawahi kutoa wazo lolote la maana, au mvivu wakazi na hata kufikiri, nimeliona nikacheka sana.Jk ataendelea kuwa ruru na anayeumwa ni kumwacha aumwe tu wala hatachafua sifa ya jk,twende jk tunaimani na wewe.