Ukweli utasemwa tu hata kama unauma!Hizi kauli za 'Kuula' 'Waula' ni kauli zinazochochea wizi na matumizi mabaya ya public office.Tubadili mentality hii...!
Hayo ni mawazo yako ambayo hayana usahihi wowote.Sasa ni dhahiri endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa katika kura za maoni basi ni wazi kuwa JK na Shein wataendelea kukalia viti vyao si chini ya miaka miwili zaidi ili kuwezesha Watanganyika kuandaa katiba yao na Wazanzibari kurekebisha katiba yao ili iendane na katiba mpya!
Hivyo nawashauri Watanzania wenzangu tujiandae kisaikolojia kukabiliana na hali hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
Mungu ibariki Tanganyika!
Mungu ibariki Zanzibar!
Kama waliingia madarakani kwa katiba ya zamani,bc watatoka kwa kufuata katiba hiyo ya zamani ambayo inasema kuwa uchaguzi utafanyika kila baada ya miaka mitano (5).Lazima watoke 2015,
Jifunze kiswahili ndio uvamie hili jukwaa mkuuJk ataendelea kuwa ruru na anayeumwa ni kumwacha aumwe tu wala hatachafua sifa ya jk,twende jk tunaimani na wewe.
Hizi kauli za 'Kuula' 'Waula' ni kauli
zinazochochea wizi na matumizi mabaya ya public office.Tubadili mentality hii...!
Sasa ni dhahiri endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa katika kura za maoni basi ni wazi kuwa JK na Shein wataendelea kukalia viti vyao si chini ya miaka miwili zaidi ili kuwezesha Watanganyika kuandaa katiba yao na Wazanzibari kurekebisha katiba yao ili iendane na katiba mpya!
Hivyo nawashauri Watanzania wenzangu tujiandae kisaikolojia kukabiliana na hali hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
Mungu ibariki Tanganyika!
Mungu ibariki Zanzibar!
Itabidi iundwe care taker Govrnment,sisi tuliwachagua watuongoze kwa miaka mitano tu na si vinginevyo!Sasa ni dhahiri endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa katika kura za maoni basi ni wazi kuwa JK na Shein wataendelea kukalia viti vyao si chini ya miaka miwili zaidi ili kuwezesha Watanganyika kuandaa katiba yao na Wazanzibari kurekebisha katiba yao ili iendane na katiba mpya!
Hivyo nawashauri Watanzania wenzangu tujiandae kisaikolojia kukabiliana na hali hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
Mungu ibariki Tanganyika!
Mungu ibariki Zanzibar!
Sio sheinUraisi ni majukumu, sio kuula! Ndio maana wanachekacheka tu! Hata hivyo hii makitu haikubaliki!