ilishawahi kusikika: 'kelele za mlango hazitunyimi usingizi'
---
wiki moja iliyopita:
'pamoja na watu kulalamikia safari zangu, ukweli ni kuwa nalazimika kusafiri kwa kuwa safari zangu hazina mbadala'... Na kwamba atasafiri kwenda copenhagen kuhudhuria mkutano siku chache zijazo.
Sasa:
... Ameamua kubadili uamuzi wa kwenda copenhagen... Badala yake amemtuma makamu wa rais, dk mohamed shein... Anayeondoka leo, kwa mujibu wa taarifa ya ikulu ya jana... Dk shein ataambatana na mama mwanamwema shein, waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais (mazingira) dk batilda buriani na waziri wa kilimo, mifugo na mazingira wa zanzibar burhani saadat.
...kwa mujibu wa blog ya ikulu rais keshafikisha safari 20 nje ya nchi... Anasafiri takriban mara mbili kila mwezi.
Chanzo: Safari za nje zamuelemea jk, mwananchi jumapili, desemba 13, 2009
Huu mkutano wa mazingira hakuna value yoyote kwa nchi yetu afadhali amemwachia mzee sheinHata Vasco Da Gama alijaribu wakati fulani kutulia nyumbani.. guess what.. alishindwa.
Huu mkutano wa mazingira hakuna value yoyote kwa nchi yetu afadhali amemwachia mzee shein
Usimlinganishe rais wetu na na hilo li-reno tafadhali
Huu mkutano wa mazingira hakuna value yoyote kwa nchi yetu afadhali amemwachia mzee shein
Usimlinganishe rais wetu na na hilo li-reno tafadhali
Kama wanalingana au kufanana basi watalinganishwa na kufananishwa... wote wana sifa kuu na kutotulia nyumbani
mimi kutoka ofisini wiki tu nakosa usingizi lakini mkulu anatoka wiki tatu!!! hii mbado mimi ona...
Rais haendeshwi na kelele za njeKamuachia kwa ajili ya kelele zetu, I am sure usiku halali kwa ajili ya kumiss hiyo safari kwa vile alishajipanga. Nani alisema kelele za mpangaji azimnyinmi suingizi mwenye nyumba?? Kamuulize JK kwa nini kamuachia makamu??? Lakini kwa JK kuachia hii wakati tulishaambiwa ankwenda nafikiri kuna safari nyingine njiani hivi karibuni!!
MajibuHivi JK akikaa nchini kwa angalau miezi miwili akaomba ushauri wa wataalam wa uchumi, kilimo, elimu n.k.,Hivi haya ni magumu sana kwake au miuu inamuwasha?
- Wakajadiliana juu ya nini nchi ifanye,
- Akaanza kutekeleza maoni yao,
- Akafuatilia utekelezaji wa waliyoafikiana na
- Kupima utendaji wake kila siku
Rais haendeshwi na kelele za nje
Ameamua kumwachia VP kwa ridhaa yake na kwa faida ya nchi!
Yuko pale kuhudumia wananchi...na safari zake ni kwa manufaa ya nchi na watu wake..
Tumain
Join Date: Sat Jun 2009
Posts: 1,921
Thanks: 553
Thanked 446 Times in 310 Posts
Rep Power: 24
Otherwise kama ulibadili jina lako la zamani,mwaka huu JF tutaona mengi sana na sijui kama tutavumilia!
Great thinker aliyekuja JF miezi 4 iiliyopita na mbwembwe za kumsifia JK kama safari zake zina maslahi kwa babu zangu waliopo kijijini Lufilyo-Kyela!
Hopeful this dude is kidding!
MBUNGE wa Kyela Dk. Harrison Mwakyembe amesema Rais Jakaya Kikwete ndiye anayefaa kuongoza nchi na ni mhimili mkubwa katika vita ya ufisadi ila baadhi ya wasaidizi wake wanamrudisha nyuma katika vita hiyo.
Alisema hayo jana katika kongamano la miaka 10 Bila ya Baba wa Taifa lililoandaliwa na wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini na kufanyika katika Chuo cha Ustawi Jamii (ISW).
Mwakyembe alikuwa akijibu swali la mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anayesoma shahada ya elimu, Chagona Deogratias aliyetaka kufahamu iwapo hoja alizokuwa akitoa Dk. Mwakyembe katika kongamano hilo alikuwa akiogopa kumsema Rais.
"Mimi kwangu namuona Rais anafaa kuongoza…bali tunapaswa tumuondolee baadhi ya watu wanaomchafua," alisema Dk. Mwakyembe huku akiwataka watu wasimfikirie vibaya anapotoa hoja zake kuwa ni mbwembe bali anajiamini kutokana na elimu aliyonayo na hivyo anajivuna.
Usimlinganishe rais wetu na na hilo li-reno tafadhali