MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Mleta Thready amekosea ni Vasco da Gama lakini Message Sent!
watanganyika wengi ni bora liende!wanahitaji kuamshwa!!!!tuwaamshe sasa!
Ni lini Watanzania tutathubutu kusema tumeifanyia nini nchi yetu kabla ya kunyosha kidola kwa JK peke yake. Watanzania ndio maana hatuendelei zipo nchi zimeanguka kwa sababu ya kuwa na Rais mzuri lakini wananchi wa hovyo.
Rais na wananchi ni partners katika kuleta maendeleo ya nchi lakini mara nyingi sisi wananchi tunajitoa bila kuweka wazi nafasi yetu katika maendeleo hayo.
msisahau kuwa huyu ni kinara mkubwa wa mambo ya dini, kabla hajamteua mtu kwenye nafasi yoyote kwanza anaanza kuangalia dini yake pasipo kutafakari utendaji wa huyo mtu na uwezo wake,' baba mwana' bwana!
Nautatamani sana tu ***** we.JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:-
1.Amewadanganya watz kwa ahadi kemkem na bado watu wako kimya tu
2.yanatokea majanga ya kizembe kama mabomu gongo la mboto,Jk bado yupo tu magogoni bila presha
3.Rushwa Imetamalaki,Jk yukp salama
4.Mtoto wake anaimiliki tz kwa kofia ya Jk,yeye no digid
5.Madaktari wanagoma,hewala bwana acha wagome
6.Umeme usioaminika jK ana majibu mepesi,yeye sio wingu la mvua
7.... endelea na wewe
Ni bahati iliyoje kuongoza Tanzania,
NATAMANI KUWA jk
Correction,
Ni Vasco Dagama na si Pasco Dagama.