Anabahati ya kuzungu dunia nzima kwa kodi za Wt, zaidi ya Pasco Dagama aliyegundua bara la Amerika. Takriban kwa muda wa miaka 6 ambayo amekuwa Ikulu amekuwa likozo kwa muda wa zaidi ya miaka mi3 na bado ni rais wa wadanganyika na anaendelea kujilipa mshahara mkubwa zaodi ya ule anayelibwa Barak Obama na Hiugin Tawa wa China.

JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:-
1.Amewadanganya watz kwa ahadi kemkem na bado watu wako kimya tu
2.yanatokea majanga ya kizembe kama mabomu gongo la mboto,Jk bado yupo tu magogoni bila presha
3.Rushwa Imetamalaki,Jk yukp salama
4.Mtoto wake anaimiliki tz kwa kofia ya Jk,yeye no digid
5.Madaktari wanagoma,hewala bwana acha wagome
6.Umeme usioaminika jK ana majibu mepesi,yeye sio wingu la mvua
7.... endelea na wewe
Ni bahati iliyoje kuongoza tz,NATAMANI KUWA jk
Hizi shule za sikuhizi bure kabisa, hawafundishi historia nini? Hivi Pasco Dagama ndio nani, na nani alivumbua Amerika? Inaelekea vijana hawajawahi kusikia jina la Christopher Columbus!!
Anabahati ya kuzungu dunia nzima kwa kodi za Wt, zaidi ya Pasco Dagama aliyegundua bara la Amerika. Takriban kwa muda wa miaka 6 ambayo amekuwa Ikulu amekuwa likozo kwa muda wa zaidi ya miaka mi3 na bado ni rais wa wadanganyika na anaendelea kujilipa mshahara mkubwa zaodi ya ule anayelibwa Barak Obama na Hiugin Tawa wa China.
Aiseeeee! mkuu umetoka wapi? kwa nini usiingie darasani kwanza ndiyo uje humu?
Soma signature yangu. Hata tungeweka mbwa pale magogoni aongoze nchi, ingekwenda tu. Ilimradi huyo mbwa aweze kubweka. Jeshi linawalipua watu na mabomu (Mbagala, gmboto), polisi wanaua watu kama ile ya Songea, Tarime halafu wananchi wamenyamaza tu? Sijaona pengine popote duniani? Ndo maana nasema hata angekaa nyau pale magogoni nchi ingeenda bila shida. Haiwezekani wabunge wanamwagiza rais afanye hili au lile (mfano kumfukuza Hosea, kumfukuza Ngeleja na malima), rais hatekelezi halafu wabunge wanarudi bungeni wanacheka tu hawaoni kama rais amewadharau. Wanamwacha tu, wakati wao ndo wawakilishi wa wananchi? Nasema hata panya angekaa pale magogoni bado angeweza tu kuwaongoza watanzania.JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:-
1.Amewadanganya watz kwa ahadi kemkem na bado watu wako kimya tu
2.yanatokea majanga ya kizembe kama mabomu gongo la mboto,Jk bado yupo tu magogoni bila presha
3.Rushwa Imetamalaki,Jk yukp salama
4.Mtoto wake anaimiliki tz kwa kofia ya Jk,yeye no digid
5.Madaktari wanagoma,hewala bwana acha wagome
6.Umeme usioaminika jK ana majibu mepesi,yeye sio wingu la mvua
7.... endelea na wewe
Ni bahati iliyoje kuongoza tz,NATAMANI KUWA jk
Correction,
Ni Vasco Dagama na si Pasco Dagama.
yote kwa yote hata wewe umekosea umesema amerika ipi mojawapo kusini au kasazini. huyo columbusi aligundua kitu kidogo tu. visiwa vya Tonga na tuvalu tu(caribean Island tu) by the way mchangiaji anajaribu kueleza hasara za baba mwanaasha tu. awe dagama au columbusi wote ni wazururaji tuHizi shule za sikuhizi bure kabisa, hawafundishi historia nini? Hivi Pasco Dagama ndio nani, na nani alivumbua Amerika? Inaelekea vijana hawajawahi kusikia jina la Christopher Columbus!!
Ndiyo kama si bahati au kwa nchi makini alitakiwa ajiuzulu kwa hiyari au shinikizo:JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:-
1.Amewadanganya watz kwa ahadi kemkem na bado watu wako kimya tu
2.yanatokea majanga ya kizembe kama mabomu gongo la mboto,Jk bado yupo tu magogoni bila presha
3.Rushwa Imetamalaki,Jk yukp salama
4.Mtoto wake anaimiliki tz kwa kofia ya Jk,yeye no digid
5.Madaktari wanagoma,hewala bwana acha wagome
6.Umeme usioaminika jK ana majibu mepesi,yeye sio wingu la mvua
7.... endelea na wewe
Ni bahati iliyoje kuongoza tz,NATAMANI KUWA jk
ndiyo kama si bahati au kwa nchi makini alitakiwa ajiuzulu kwa hiyari au shinikizo:
Angalia:
8: Kudorora kwa elimu: Shule za kata bila waalimu, maabara nk.
9. Kuruhusu wezi wa wanyama pori kuja kuiba wanyama: Ile ya ndege ya jeshi kutoka doha ilikuwa uharamia wa kiserikali tu!
10. Kuruhusu na kuitumia migongano ya kidini kwa maslahi ya kisiasa (uislamu/ukristo)
11. Kuruhusu kikundi cha wanamtandao kuendelea kuvuruga nchi bila shida
12. Kukuza tabaka la wenyenazo na kudidimiza wasio nazo.
13. Kukiri kuwa "hajui kwa nini nchi anayoongoza ni maskini"
alitakiwa amejiuzulu zamaaani!!!