hii inaonyesha JK hajiamini japo anakuwa tayari amependeza....!!!!!!!
Mbali na kupiga picha na Mablazamen( Boyz 2 Men)wa marekani ,na ikulu kupambwa na magari ya kifahali BMW, Nimejaribu kufuatilia mara nyingi,Huyu Rais wetu mh JK.kikwete katika ziara zake nje ya nchi anapokuwa anakutana na Marais ama viongozi mbali mbali ,mara nyingi huwa anakuwa makini katika kuhakikisha,yuko nadhifu zaidi japo amekuwa tayari amependeza kwa suti nadhifu za bei mbaya, mfano kwa mara ya mwisho mh.JK akiwa Doha Uarabuni alikutana na Katibu Mkuu wa UN. (Hon Ban kin moon), na zaidi wakiwa katika kusalimiana mh.JK alikuwa akitumia mkono wake wa kushoto kutelezesha kila mara sehemu ya kifuani akiashiria anaweka sawa sawa suti yake, na alikuwa akirudia kila mara ,na Baada ya kuketi kwenye viti vyao alitupa macho kwenye Miguu yake na kuseti vizuri kiatu chake cha Gharana aina ya (Travolta), na wakati huo mkono wa kushoto ukiwa bado kifuani,na akiongelea kwa mapana
umaskini wa Bara la Africa,hii inaonyesha JK hajiamini japo anakuwa tayari amependeza....!!!!!!!$#******
- Labda Jeetu Patel, Lukaza, Yona na Mramba wanaweza kutupa analysis saafi sana kuhusu hiki kitendawili mkuu, unless nina-miss maana kujiamini.
Jakaya hajiamini na hili linadhihilishwa pale anapohutubia au kuelezea jambo; anapenda sana kutumbukiza maneno kwa kiingereza ili watu wajue kuwa nae msomi!!!
- Labda Jeetu Patel, Lukaza, Yona na Mramba wanaweza kutupa analysis saafi sana kuhusu hiki kitendawili mkuu, unless nina-miss maana kujiamini.
another interesting analysis, in that context watanzania wote hatujiamini.
Kweli anajiamini sana, mpaka Mkapa atamburuza kortini siku si nyingi.....
I think that is not so bad as long as he does not Concentrate on that. Kikwete is confident unless we differ in the definition on kujiamini. and what you have written appears to be too personal and is something that even Bush or Putin or Obama can do. Jamani tunataka Rais wetu aweje?
Wakuu,
Mkuu wa nchi ni mtu mwenye kujiamini sana ila tatizo lake ni wakati inapokuja Chama wanatak kitu ,huwa inamuwia vigumu.Nguvu ya vyombo kama NEC na CC ndivyo huwa vinaharibu utendaji wa rais siku zote sababu watu huwa wanatishia kama asivyofuata wanavyotaka basi watamng'oa.Nahisi tunahitaji mfumo mpya wa jinsi vyama vyetu vinavyoongozwa.Ila Mpaka sasa nina imani kubwa sana na mkulu wa nchi
Nitamuona JK anajiamini pale atakapojipeleka yeye mwenyewe mahakamani kuhusu sakata ya EPA. Naamini mnajua nini kilichomo ndani ya EPA.
Mkuu wa nchi ni mtu mwenye kujiamini sana ila tatizo lake ni wakati inapokuja Chama wanatak kitu ,huwa inamuwia vigumu.Nguvu ya vyombo kama NEC na CC ndivyo huwa vinaharibu utendaji wa rais siku zote sababu watu huwa wanatishia kama asivyofuata wanavyotaka basi watamng'oa.
Nahisi tunahitaji mfumo mpya wa jinsi vyama vyetu vinavyoongozwa.Ila Mpaka sasa nina imani kubwa sana na mkulu wa nchi