Jk--- nitachafuka men

Hii picha inafikirisha. Anayeweza kufikiri, na afikiri.
 
Hakuna lolote msanii tu huyu. Mavazi alovaa ni muafaka kabisa kwa shughuli yenyewe ila moyo wake na mazoea ndo tofauti. Angevalia suti ningesema walimshtukiza ila hapa ni wazi kavalia kwa shughuli za shamba ila hazimudu. Cha kupigia goti hapo wala sikioni. Tena ndo koleo walifanya zito zaidi na ndo maana haonekani kufanya lolote hapo
 

Maalim, Uwe unajitahidi kuelewa kabla ya kujigamba maana kinachojadiliwa hapa siyo tofatuti ya matukio bali ni ufanisi wa kazi inayofanywa. Ukiangalia picha za JKN unaona seriousness ya kazi anayoifanya, shoka au koleo amevishika kwa stahili yake, lakini ukimwangalia ndugu yako utaona ni usanii mtupu. Koleo halijashikwa kiume, kwenye hayo mazingira aliyomo mtu yeyote asingefanya hiyo kazi kwa koleo huku amepiga magoti tena kwenye msala!! Vituko na vioja kama hivi vyafaa kuingizwa kwenye vitabu vya rekodi.... lol
 

hata kwenye maamuzi inakuwa hivyo hivyo
kiongozi anavyooneka ni ishara tosha ni kiongozi wa aina gani
 
PumbaNafikiri dogo umekurupuka. Waulize waliomwona Nyerere wakati wa uhai wake (siyo kwenye picha tu) anapofungua jengo, ama akiweka jiwe la msingi, ama kwenye shughuli yoyote ya uzalishaji tabia yake ilikuwaje? Ndiyo sababu hata alipong'atuka alirudi kijijini na alilima ama kupalilia kwa jembe la mkono. Jiulize kama JK anaubavu wa kurudi kijijini na kulitumia jembe la mkono? Kwa kukusaidia mtoa mada ameweka picha chache saaana za Nyerere. Picha nyingine nenda pale Habari na Maelezo utapata albamu kadhaa (najua nikisema uenf kwenye Makumbusho ya Butiama utasema mbali)
 
Hizo picha za Nyerere zinatuonesha ni vipi alivyoweka misingi mibovu. Badala ya kuonesha kilimo bora kwa matrekta yeye ana piga jembe la mkono! Khaaaa, wapiiiii?
 
But suala hapa ni seriousness JKN alikuwa tough kwenye maamuzi yake irrespective of the outcome, so was Ben, Hii JMK says it all about him.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…