JK, nini tafsiri ya mabalozi hawa wapya kwa wananchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, nini tafsiri ya mabalozi hawa wapya kwa wananchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gidytitus, Dec 22, 2011.

 1. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Naombeni wana JF na waTZ kwa ujumla mnisaidie juu ya hil la uteuz wa mabalozi wapya! Je nitakua sawa nikitafsiri kua Jk ame2onesha kua sisi raia s kitu juu ya kuwapga chini hawa watu! Wana Arusha na iwaume sn kwa yule mliyemkataa Bi Batrida sasa atawakilisha nchi yenu yote na sio Arusha tu! Mnasemaje au mmwelewaje mjomba kuteua wa2 walokataliwa na raia ktk kuwawakilisha?
   
 2. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katuona akili zetu za mbayuwayu
   
 3. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hata yule anaaitwa Dr Kamala naye walimkaa wananchi wa jimbo moja sasa anawakilisha nchi!!
   
Loading...