Rafiki,
Wewe siyo raia. Hapa hakuna cha kwamba umezaliwa Tanzania, suala je wewe ni raia? Jibu ni hapana. Kwahiyo ni halali yako kulipa kwa viwango vya wageni. Wewe ni mgeni. Ndugu yangu si umeshaamua kujilipua bana? Kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu, subiri wakati uraia wa nchi mbili utakapokubalika TZ.