acha awatembelee wapiga kura wake.Sasa atembelee wapi Wakuu kama kila mahali mnamkandia? Awe Tz mnasema, akienda nje, nako mnamsema.
Anata kupanda mlima mrefu kuliko yoyote Afrika.Itakuwa vema akaweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza Kuupanda.

Gari ya ambulace itamfuata nyuma?
hahaha naskia kuna ishu za akina mama anaenda zindua
si unajua rais wetu ni mtalii? Amemaliza utalii wa nje ya nchi, ss ameanza wa ndani ya nchi. Huyo ndo presidoo wa TZ BWANA!
Mi nina mashaka naye sana!
Anata kupanda mlima mrefu kuliko yoyote Afrika.Itakuwa vema akaweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza Kuupanda.
Kwani nani kafa huko.