Huyo binti na huyo dogo mwenye asili ya kiarabu ni wamarekani na wanafunzi wa university, wana miaka 20 tu. Ndio waliogundua huo mpira unaitwa "soccket ball" ambao unatumia "kinetic energy" (kuurusha rusha, kudunda dunda, au kuupiga piga) kuzalisha umeme kwa matumizi madogo madogo kama kuwasha taa na kuchaji sim.Huyo mwananke ni nani tafadhali. Kavaa flat simple tu, wangekua akina Wolper na Wema Sepetu vitu feki vingekua vya kumwaga.
mzee, hakutoa pande kwa bwana dhaifu nae aoneshe maujuzi ???
Ni marine one na ground force onekikwete anamambo mengi anafanya kimazoezi, nakumbuka sifa moja wakati wa kugombea alikuwa anafanya mazoezi sana. nafasi yake na kukosa muda wa kutosha inamfanya akose mazoezi kama ya obama.
obama ana
barabara zikiwa na jam hawafanyi kama huku kwetu, obama anachukuliwa na helkopta mpaka baharani anasafiri haraka
- airforce one
- marine force1
- land force1
kadhalika bus(land force) HANA KUPOTEZA MUDA.
Mmmmhh, wa kwetu ni fundi wa kumiliki mademu sio mpira. Na angemuonyesha kama BO angeendelea kuwepo. Chezea M.k.w.e.r.e wewe?
Jakaya Mrisho Kikwete naye ni binadamu kama ulivyo wewe na mimi, hivyo anastahili kuheshimiwa. Pamoja na dhihaka tufanyavyo dhidi yake tuwe na mipaka. Pale Ubungo yeye na Obama wamecheza mpira ule kwa kupigiana pasi nzuri tu. JK alionyesha kuujua mpira. Aliyeweka picha aweke pia picha za JK alipokuwa anacheza pasi na Obama. Taarifa ya habari ya TBC wameonyesha
Atakua shushu............chezea USA!!Huyu mwana dada muonekano wake na confidence aliyonayo sina shaka nae anatoka U.S.A lakini mfanyakazi wa Symbion hapa nchini!!
Huyo ni binti mmarekani. 25yrsHuyo mwananke ni nani tafadhali. Kavaa flat simple tu, wangekua akina Wolper na Wema Sepetu vitu feki vingekua vya kumwaga.
Kwa nini usiweke na wewe uliyeshuhudia?
anajua kuwa ni mzee wa kudondoka, hivyo asije akadondoka bure!
OBAMA ALIPOKUWA AKIONYESHA UFUNDI WA KUMILIKI MPIRA UBUNGO.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ata za kichwa naweza JK vp wewe unaweza
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Moja...2....3...4 wewe[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]