JK na Salma wanacheza bao

Kuna maza hapo anasura kama mwanaapolo aliyetoka chini.
 
Kuna wazee wawili hapo mmoja kafunga mikono wanacheka kinafiki hadi aibu
 
Ukombozi wa nchi hii bado kabisa, sasa kuna kichekesho gani watu kucheza bao, yaaani unaona mtu anajikaza ili acheke uongo!
 
Hiyo ilikuwa ni kwenye Maonesho ya Sabasaba ya mwaka jana na hapo walitembelea Banda la Maliasili...
 
Dah safi jk na mamaa salima,actually napenda sana maisha baada ya kazi. Jk tunakumiss shibam pale,tangu uukwae ukubwa huonekani hapa idrisa na shibam,hata pale hugo house haufiki siku izi. Tofauti na tofauti zetu za kisiasa bado tunahitaji uje shibam tucheze bao na kuchoma mishkaki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…