JK na Mafisadi.........wanahitaji kusamehewa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na Mafisadi.........wanahitaji kusamehewa ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tzjamani, Jan 2, 2011.

 1. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF,

  Inasikitisha Rais wa nchi akituhumiwa kwa mambo mengi sana, mikataba mibovu,.......
  1. IPTL
  2. Madini
  3. EPA
  4. Serengeti
  5. TRL
  6. Richmond
  7. Dowans
  8. Uchakachuzi wa Uchaguzi
  9. Wikileaks
  ...........................................endeleza.
  Hivi kweli ana roho wa kibinadamu, moyo wa nyama kama wa kwangu? Kwa nini asichukue hatua ya maana?

  Tazama waTZ wanavyoteseka kwa umaskini, magonjwa na ujinga(kukosa elimu).

  Ninafikiria siku TZ ikipataa uhuru (katiba ya wananchi) tunaweza kumsamehe huyu jamaa na wafisadi wenzake?

  This is too much................Kwangu mimi ni Big NO. warudishe kwanza mali walizoiba ndio tutaongea mambo ya msamaha la sivyo za kichina china tu.

  WaTZ wafike wakati tuseme enough is enough. Hata nikifanya kazi kwa bidii haisaidii sana maana wa mwisho wanachukua mafisadi.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  God, we give all the praise and glory to you!
   
Loading...