JK na Dogo Janja

Its unfortunate kwamba rais amekua baba mpaka anasahau kuwa ni rais wa nchi na siyo baba wa wanawe pekee... kwahiyo akiwa na mtoto mchezea nyoka basi kila mwezi tutaona manyoka ikulu na mapicha tele

I am saddened
 
dogo janja anaweza kuongoza nchi kijanja kuliko kikwete dhaifu.................
 
Duh atakaa chini saa ngapi ili afikirie matatizo wa TZ? Kweli kazi tunayo na huyu presida check BOb
 
anapenda kushughulikia mambo madogo (ya umbeya umbeya), makubwa hagusi.
 
Its unfortunate kwamba rais amekua baba mpaka anasahau kuwa ni rais wa nchi na siyo baba wa wanawe pekee... kwahiyo akiwa na mtoto mchezea nyoka basi kila mwezi tutaona manyoka ikulu na mapicha tele

I am saddened

Duh nilitaka kukugongea thanx but nimeikosa baadaye nita-do it.
 
Dogo janja ndiyo nani?tafadhari nifahamisheni!!
 
Uchumi unadorora kila kuchapo, hajui mustakabali wa taifa anahangaika na ubongo wa fuleva.
Raisi wetu kweli ni chaguo la mungu
 
Inasemekana huyu dogo alitembea kwa miguu toka Arusha mpaka DSM ili ampongeza jk kwa ushindi wake.
hapana banaaa... alikuja kinyumenyume hadi chalinze, halafu akatembea kwa mikono hadi ikulu, kisha akapiga free style kabla ya kupata big-up ya presidaa
 
KWeli imetulia. Dogo kapata shavu la jk. Dogo namkubali
 
jamani mwacheni prezidaa wetu, anampa changamoto. Ni mtu wa watu
 
Ukitaka kuonana na jk kwa mambo muhimu ni ngumu lakini ukiimba mziki kama dogo janja fatsaaaaaaaaaa.
 
Alipopiga picha na Boyz 2 men mkuu alikua anatafuta ujiko wake, sasa zamu ya dogo janja, mwacheni nae apate ujiko kutoka kwa mkuu jamani.
 
Hivi rais si huyo mwenye fulana ya rangi nyeusi na kijani!!:whoo::whoo::whoo:
 
Kikwete ni Rais wa Watanzania wote, si Rais wa wanaojua kubadilisha suti tu. Hiyo picha sioni kama ina cha kuwashangaza watu hadi kuanzishwa mjadala.

Ujue kuna kaka powa,dada powa na n.k Sasa huyu ni Rais pouwaa,,, Dr Dr Dr JK mzee wa udaktari mzee wa kuuza sura....mzee wa kuchekacheka.... unachekacheka wakati wanzio hatujala,,, umeme umepanda ,, Bank Kuu nasikia wamekwapua...we unakenua meno tu,,,, ok hapa tuna Bora Rais.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…