JK na Dk.slaa nani zaidi?

Mkwere ni zuzu, thinking capacity ni ndogo sana. Kamwe hatoweza kutumia the art of creative imagination to comunicate with infinite intelligancy(temple of wisdom) and convince nature to provide what tanganyikans want. Mkwere anachojua ni kucheka cheka hovyo bila ku reason. Ni rais dormant kuliko wote duniani.
 
Kikwete anawalinda mafisadi na kumushinikiza hosea akati slaa anawafichua mafisadi. Slaa analeta nuru kikwete analeta giza
 
Back
Top Bottom