D Darwin JF-Expert Member Joined May 14, 2008 Posts 908 Reaction score 61 Aug 1, 2011 #1 Ina maana wanaoenda kumsikiliza wengi wao ni waandishi wa habari tu?
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Aug 1, 2011 #2 He has no value any more!he has lost his credebility as a president
M Mapujds JF-Expert Member Joined May 12, 2011 Posts 1,286 Reaction score 129 Aug 1, 2011 #3 Jamaa muda utafika atahutubia viti na miti tuu.
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Aug 1, 2011 #4 Duh, makubwa!
S sirghanam JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 284 Reaction score 92 Aug 1, 2011 #5 Kaka ni kweli basi amefikia hatua mbaya zaidi
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 321 Aug 1, 2011 #6 na bado lakini mie naona anajitesa kwa nini asiweke sifa njema ya kujitoa kwenye madaraka yalomshinda?
na bado lakini mie naona anajitesa kwa nini asiweke sifa njema ya kujitoa kwenye madaraka yalomshinda?
nditolo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 3,802 Reaction score 4,459 Aug 1, 2011 #7 Wamekosa hata wanafunzi wa shule za msingi? Ana hali mbaya lakini si alisema urais wake ni wa familia? Inamaana hata Rz1 naye kamkimbia?
Wamekosa hata wanafunzi wa shule za msingi? Ana hali mbaya lakini si alisema urais wake ni wa familia? Inamaana hata Rz1 naye kamkimbia?
U Uwezo Tunao JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 6,942 Reaction score 1,201 Aug 1, 2011 #8 Kama ni hirizi ya ulinzi basi itakua imechuja na kwa bahati mbaya ndio hivo yule mtaalam mrekebishaji na 'Mlinzi wa Amani' wa rais, marehemu Sheikh Yahaya, ndio huyo kawa muoga na kutangulia mbele ya haki kabla ya wakati.
Kama ni hirizi ya ulinzi basi itakua imechuja na kwa bahati mbaya ndio hivo yule mtaalam mrekebishaji na 'Mlinzi wa Amani' wa rais, marehemu Sheikh Yahaya, ndio huyo kawa muoga na kutangulia mbele ya haki kabla ya wakati.