Jk&Mkapa waondolewe kinga

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,233
16,202
Kama magufuli ana nia thabiti aliamrishe bunge kuondoa kinga y'a marais wastaafu kutoshtakiwa akifanya hivyo hakika itakuwa ni shangwe n'a vigelegele
Hawa wamehongwa pesa nyingi sanaa
 
Katiba ya Warioba imejitosheleza katika maeneo yote. Watanzania tunapaswa kujua bila katiba hiyo Tanzania haiendi kokote.
 
Back
Top Bottom