Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
JK anampenda mtu aliyekufa kuliko aliye hai!
JK kayataka mwenyewe kuhudhuria kila msiba ili kuwaziba wapinzani wasiitumie misiba vibaya kisiasa!!!!!
Kutokana na hilo hana budi sasa kuhudhuria mazishi ya Sumari atake asitake maana ataoneka kwa Regia alihudhuria iwaje asihudhure huu wa Sumari tena ukizingatia ni kutoka chama chake.
Nasikia kipindi ulipokuja kufunga mafunzo TMA ulishukia Arusha Airport badala ya KIA kwa sababu za kiusalama sasa sijui na safari hii utashukia wapi maana nasikia machalii wa Ar Chuga hawakumaind kabisa.
Changamoto ninayokupa anza kufikiria jinsi utavyolichakachua jimbo la Arumeru huku ukijua vita inaweza kuanzia huko.
Unakaribishwa Arusha na wenyeji wa mji huo mkuu wa Kaya.
inamaana hii ndo kazi amebakiza? pamoja na kuweka mawe ya msingi na kufungua maofisiMkulu karibu arusha siku ya juma tatu kwenye mazishi ya jeremiah sumari. Kama uko busy unaweza potezea kwani ni juzi tu umetoka kumzika regia mtema.
]inamaana hii ndo kazi amebakiza? pamoja na kuweka mawe ya msingi na kufungua maofisi[/COLOR]
Mkulu karibu arusha siku ya juma tatu kwenye mazishi ya jeremiah sumari. Kama uko busy unaweza potezea kwani ni juzi tu umetoka kumzika regia mtema.
acha utani wa ukweli kweli
barabara,madaraja,shule,majengo ya ofisi na hoteli...........................
sijui kazi ya Bilal itakuwa ipi??? au kuna 10%????