JK Mauritania

Ndege yetu imepona kumbe?....halafu mbona gwaride lake na la msaidizi wake havifanani?
 
Utalii wa kisiasa. Who will pay for the travel costs? Sie?
 
Utalii wa kisiasa. Who will pay for the travel costs? Sie?

Ninavyojua hii ziara imeandaliwa na AU, ninachouuliza kwani ndege ya rais wa tz nani anaigarmia, ni AU au serikali ya tz. Kama ni sisi basi utawala wa jk ni kiama kwa watanzania. Ukizingatia hiking of oil prices, we will soon cripple. Jana nilisoma kwenye gazeti moja hapa mjini likidai serikali imeishiwa hela hata za kuendeshea mambo muhimu ya wizara. Je JK anapata wapi hizi hela la kutanulia hivi wakati wananchi wanalalmika hivi?
 
Kaenda kwa Gabgo... Kwenye mazungumzo ya suluhu.

Wahenga walisema "charity begins at home" si angemaliza kwanza matatizo ya home ndio aanze ya wengine, anyway who am I to say anything
 
Mwacheni rais aende kusaidia walio tayari kusaidiwa jamani.
 
kwani amemaliza kuhani misiba ya wahanga wa mabomu huko G'mboto...?
 
Maraisi na viongozi wenzake, pindi inapotokea dharula hukatisha hata likizo zao lakini kwa kuwa jamaa ni mvumbuzi wa safari ameona ishu ya G'mboto haina maana (ukizingatia keshapiga picha za tabasamu lisilo na tafakauri na wahanga) hivyo kaona bora kwenda kujipumzikia huko nje
 

Kama ni kupumzika atakuwa kakosea nchi yenyewe hovyo kuliko TZ

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…